Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Meneja wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA), Wilson Kantambula (kulia) na Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Damas Ndumbaro (kushoto)
wakati alipokagua maadalizi ya mapokezi ya wajumbe wa mkutano wa SADC
kwenye jengo la pili na la tatu katika kiwanja cha ndege cha Julius
Nyerere jijini Dar es salaam, Julai 31, 2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.