Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika ibada ya kuwaombea
marehemu waliofariki katika ajali ya moto wa lori la mafuta lililoanguka
katika eneo la Msamvu mjini Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika kwenye
viwanja vya hospitali ya mkoa wa Morogoro, Agosti 11, 2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.