Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Mawaziri na
viongozi wa mkoa wa Morogoro walioshiriki katika maandalizi ya kutambua
miili na maziko ya watu 69 waliofariki dunia katika ajali ya lori la
mafuta lililopinduka na kushika moto kwenye eneo la Msamvu mjini
Morogoro. Alikuwa kwenye viwanja vya hospitali ya mkoa wa Morogoro,
Agosti 11, 2019. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
TAMISEMI, Selemani Jafo, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Morogoro,
Innocenti Kalogelisi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,
Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene
Kebwe, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isack
Kamwelwe na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu
Kijaji. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.