Mwezeshaji
wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa
wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto, Ambele Eliah akifafanua namna ya uchukuaji wa sampuli,
kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala, wilayani Uvinza, wakati
wa zoezi hilo lililofanyika katika kituo hicho leo tarehe 6 Agosti, 2019.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.