Mratibu
wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kutoka
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Consolata Masawe akimfafanulia
mmoja wa watumishi wa Afya wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo kwa watoa huduma wa
Afya katika mpaka wa Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda, mkoani Kagera Agosti
2019.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.