Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya maofisa wa serikali ya Tanzania wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti 26, 2019, amabako anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.