Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.
Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Mradi huo kutoka
Kampuni ya Holly Green, Bw. Octavian Laswai (kushoto) alipokuwa akikagua Kitalu
Nyumba (Green House iliyojegwa katika Halmashauri ya Chamwino, Septemba 21,
2019.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.