Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na ujumbe kutoka China Academy of
Building Research, ambao umekuja kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya mradi
wa ujenzi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wa awamu ya pili, leo
Septemba 4.2019. Mradi huo ni miongoni mwa matunda ya ziara ya Waziri Mkuu aliyoifanya
nchini China Oktoba 31, 2018. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.