Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo wakitazama malighafi ya Pazolana inayotumika kutengeneza Saruji wakati Waziri Mkuu alipotembelea banda la kampuni ya saruji ya Tanga katika Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani lililofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani mjini Kibaha, Oktoba 19, 2019. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Uwekezaji), Angela Kairuki na kushoto ni Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Mhandisi Benedict Lema. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.