Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba 10, 2019. Waliokaa kutoka kushoto ni Tausi Hassan kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali Karume, Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Fadhili Juma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.