Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia pamba katika kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa zawadi ya cheti, fedha,na baiskeli, mkulima wa zao la pamba kutoka Ikungi, Juma Shabani, wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, Dkt. Riyaz Haider, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.