Thursday, November 14, 2019

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO WA KUDHIBITI MAGONJWA YASIYO AMBUKIZIKA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo. Novemba 14/2019 . Wengine kutoka kulia, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Teguest Mengtsu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, John Malecela na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, John Malecela baada ya uzinduzi wa mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga wananchi baada ya kuzindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo Novemba 14/2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya Tanzania Bwana Benedikti Konga. wakati alipotembelea maonyesho ya uzinduzi wa mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo Novemba 14,2019.






No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.