TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
NduguWananchi,
Serikaliya
Tanzania itakuwamwenyejiwaMkutanowa Kwanza
waKamatiyaMawaziriwenyedhamanayaMenejimentiyaMaafakwaNchiWanachamawaJumuiyayaMaendeleoKusinimwaAfrikautakaofanyikatarehe
18 – 21 Februari, 2020, Zanzibar. MgeniRasmi, atakayefunguamkutanohuoniRaiswa Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi.Mhe Dk. Ally Mohamed
Shein.
KaulimbiuyaMkutanohuu:
“UshirikiwaKisektakwenyeKupunguzamadharayamaafaninjia
bora yakuimarishaustahimilivukatikaukanda wan chi
WanachamawaJumuiyayaMaendeleoKusinimwaAfrika” (SADC).
Itakumbukwakuwa Tanzania ilichukuarasminafasiyaMwenyekitiwajumuiyakuanziamweziAgosti, 2019 kwakipindi cha mwakammojahadimweziAgosti, 2020
Mkutanohuuunafanyikakwamaraya kwanza visiwani
Zanzibar tanguMhe. Dkt. John Joseph PombeMagufuli,RaiswaJamhuriyaMuunganowaTanzania akabidhiweuenyekitiwajumuiya. Kufanyikakwamkutanohuunifursakubwakwawananchiwa Tanzania kwaniutasaidiakukuzabiasharanautaliikatikanchiyetuhasavisiwavya Zanzibar nakuendeleakujitangazakimataifa.
NduguWananchi,
KamatiyaMawaziriwenyedhamanayamenejimentiyaMaafaimeanzishwakwalengo
la kulishauriBaraza la Mawaziriwanchizajumuiyaya SADC
kuhusumasualayaupunguzajiwamadharayamaafakikanda. Lengomahususi pia ni, kuwanajukwaa la kubadilishanataarifanauzoefuwakiutendajimiongonimwanchiwanachamailikutekelezakwaufanisishughulizausimamiziwamaafa.
NduguWananchi,
Mkutanohuuunakujakipindiambachonchinyingiwanachamakatikaukandahuuzimekuwazikiathiriwanamajangayaasilimarakwamaranakusababishamadharamakubwa.
Sotetunakumbukaukamewamwaka 2016
ambaouliathiritakribaniwatumilioni 40
katikaukandahuunakusababishaukosefuwachakula.
Idadihiiiliongezekahadiwatumilioni 41.6 katikanchi 13 Wanachamakipindi cha
msimuwa 2018/2019.
NduguWananchi,
Baadhiyanchiwanachamaikiwemo;
(Komoro, Malawi, Msumbijina Zimbabwe) kwamwaka 2019
zilipatamafurikoyaliyosababishwanaVimbungaIdaina
Kenneth. Kutokanamadharayamafurikohayo,
Gharamazamisaadakukabilianamadharanikubwa (zinakadiriwakuwadolamilioni 323)wakatigharamazakurejeshahalizilikadiriwakuwadolabilioni
10.
Ili
kuwezakupunguzagharamakubwakatikaurejesahiwahalindiomaanakatikamkutanohuuwa
SADC tutajadiliananamnayakuwekezakatikapunguzamadharayamaafa,
kwakuwaGharamazausimamiziwamaafakamayaukamaenamafurikohuzilazimuNchiWanachamakuelekezarasilimalizilizotengwakwaajiliyashughulizazamaendeleonabadalayakekuelekezwakatikashughulikurejeshahali.
Sotetunakumbuka,
matukioyaVimbungavyaIdainaKeneth, vilivyosababishaatharikubwakatikanchizaMsumbiji,
Malawi na Zimbabwe.KutokananamadharayaVimbungahivyo, Nchiyetuilishirikiipasavyokatikahatuazakurejeshahalikwenyenchihizotatu .
NduguWananchi,
Kwa
uzoefuwaainayamajangaambayohutokeakatikanchiza SADC, inadhihirishaumuhimuwaushirikianowakikandauliothabitikatikakukabiliananayo.
Majangahayakwakiasikikubwayanatokananamabadilikoyatabianchinahaliyahewa, Pia
yamekuwayakitokeamagonjwayamilipukoyawanyamanamazao,
katikaukandahuuambaoasilimiakubwayawananchi wake
hutegemeasanashughulizakilimokwaustawiwauchumi.
Hali
hiiimekuwaikichangiakudumazaukuajiwauchumiwakikanda, hivyohatunabudikuchukuahatuakwapamojazakupunguzamadhara,
kuimarishautayariwakikandanauwezowakukabiliananamaafa.
Aidha,
katikakuchukuahatuazakuimarishaustahimilivuwakikandadhidiyamaafa,
SekretarietiyaJumuiyakwakushirikianananchiwanachamaimekuwaikifanyajuhudimbalimbalizakuimarishaustahimilivukwakuandaaMpangowaDharurawaKujiandaanaKukabiliananaMaafa,
kushirikianakuandaataarifazautabiriwamsimunakutoatahadhariyaawalikuhusuhatarizitokanazohaliyahewapamojanakutoamafunzokwawataalamwanchiwanachamakatikafanimbalimbaliikiwemotathmini,
utafutajinauokoaji.
Aidha,
baadhiyanchiwanachamaikiwemo Tanzania
zimefaidikakwakupatavifaanamifumoyakufuatiliamajangayamafuriko, ukamena moto
wamisitunikwaajiliyakutoatahadhariyaawalikupitiaushirikianohuo.
Ili
kwendasambambanajuhudizakikandanakimataifa,
serikaliyaawamuyatanoinayoongozwanaDkt. John PombeMagufuli, itaendeleakuimarishauwezo wake
wausimamiziwamaafakatikanyanjazote. TayariserikaliyaawamuyaTanoimetungaSheriayaUsimamiziwaMaafayaKitaifa
Na. 7 ya 2015 nakanunizake, TunaoWasifuwaJanga la
MafurikonaUkamewaKitaifanaMkakatiwaTaifaKupunguzaMadharayaMaafa;
Lengokubwa
la
serikalinikuhakikishakilasektainazingatiahatuazaupunguzajiwamadharayamaafakatikamipangoyamaendeleonauandaajiwabajetiilikupunguzamadharakwajamiinahasarazakiuchumi.
NduguWananchi,
MkutanowaKwanzawaKamatiyaMawaziriwanaohusikanaMenejimentiyaMaafakwaNchiWanachamawaJumuiyayaMaendeleoKusinimwaAfrikautakaofanyikamweziFebruari,
2020 visiwaniZanzibar unakusudiakuchocheajuhudizilizopokatikakupunguzamadharayamaafakwakutelelezayafuatayo:
- KujadilinakupitishaMkakatiwaKujiandaanaKukabiliananaMaafawaKikanda
2016 – 2030;
- KujadilinakuridhiaMfumoMkakatiwaUstahimilivuwaKikanda
2020 – 2025;
- Kupokeataarifazamaendeleojuuyautekelezajiwamkakatiwamabadilikoyatabianchinampangokazi
wake;
- Mpangowapamojawamazoeziyanadhariayakukabiliananadharura,
utafitinanjiambadalazakukabiliananamajangakatikakutoahudumazakibinadamu,
urejeshajiwamiundombinukutokananamajangayaasili.
Asantenikwakunisiliza.
Mhe.
JenistaMhagama (MB)
WAZIRI
WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU
(SERA,
URATIBU, BUNGE, UWEKEZAJI, AJIRA, VIJANA NA WENYE WALEMAVU)
13 FEBRUARI, 2020
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.