Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kitengo cha kuchuja damu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga ya Bombo, Machi 1, 2020. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Mwita Waitara na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.