Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo ameanza ziara ya kikazi ya Mkoa wa Tanga kwa kutekeleza maelekezo ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) aliyoyatoa kwa Watanzania ya kutosalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana ikiwa ni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu wakati alipoowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga,Machi 1, 2020. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.