Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wa Uswidi na Afrika Mashariki Bw. Jan Furuvald akiwasilisha mada wakati wa kongamano hilo.
|
Rais wa TCCIA Bw. Paul Koyi akihutubia wakati wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki na Wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara wa Uswidi na Afrika Mashariki kaika Ukumbi wa Mikutano Serena Hotel Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2020
|
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiteta jambo na Balozi wa Tanzania nchini Swiden Mhe. Dkt. Wilibrod Slaa wakati wa kongamano hilo.
|
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia mada mbalimbali katika Kongamano hilo.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.