Sehemu ya Vijana wanufaika wa
Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo
pichani).
|
Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela akitoa taarifa kuhusu
Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” kwa Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) alipofanya ziara ya kutembelea na
kukagua mafunzo wanayopatiwa vijana hao na waajiri katika mkoa huo.
|
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waajiri na Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship
Training” alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua mafunzo wanayopatiwa
vijana hao na waajiri, Mkoani Iringa.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.