Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipokea risiti ya malipo ya shilingi Laki moja kutoka kwa Mzee Abdalah Saidi
Kaliondima, kwa ajili ya kumchangia, Rais Dkt. John Magufuli katika
kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, kwa kutambua mchango mkubwa katika
kuiletea Tanzania maendeleo, Tukio hilo lilifanyika kwenye uwanja wa
Ndege wa Nachingwea wakati Waziri Mkuu alipowasili akiwa jiani kwenda
Ruangwa, Julai 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.