MAJALIWA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE WA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la
Ruangwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Frank Chonya
ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa na
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, Agosti 21, 2020.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.