Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri
Mkuu sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameishauri sekretarieti ya
SADC kwa Kushiriiana katika kuimarisha utendaji wa kazi wa Kituo cha
udhibiti wa Maafa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu katika Mkutano wa
kamati ya Mawaziri wanaoshughulika na udhibiti wa maafa kwa Nchi wanachama wa
SADC uliofanyika Lilongwe Nchini Malawi.
Katika kikao hicho waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu aliaambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Maafa, Ofisi
ya waziri Mkuu Meja Jenerali Michaeli .M. Mumanga aliyeongeoza ujumbe wa
Tanzania katika Kikao hicho.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.