Waziri wa Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (Mb)
leo June 17, 2025 ametembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu
lililopo katika maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi Umma yanayoendelea
katika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma ambapo Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera Bunge na Uratibu) ikijumuisha idara na taasisi zilizo chini yake inashiriki
maonesho hayo.
.jpeg)

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.