Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Dkt. Jim
Yonazi (kushoto), Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano)
Bi. Mary Maganga pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
(TAMISEMI) Bw. Sospeter Mtwale(kulia) wakifuatilia Hotuba ya Bajeti inayotolewa
na Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwaka 2026/2027 tarehe 1
Aprili, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.