Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Mwandamizi wa Magereza na Mkuu wa Magereza wa Mkoa wa
Lindi, Tusikile Mwaisabira baada ya kikao
chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza na
Maofisa Magereza wa Mikoa, kilichofanyika Ofisini kwake mjini
Dodoma Februari 13,2017.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa, akiongoza kikao kati yake na Maofisa wa Magereza kutoka makao Makuu ya
Magereza , pamoja na Makamanda wa Magereza wa Mikoa yote nchini, ofisini kwake mjini Dodoma
Februari 13, 2017.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya
pamoja na Watalaamu na Wasimamizi wa Mkiradi ya Jeshi la Mgereza, baada ya
kikao chake na Maofisa wa Magereza
kutoka Makao ya Magereza na Wakuu wa
Magereza wa Mikoa kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwigulu Nchemba.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha
ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la
Magereza Wanawake baada ya kikao chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya
Magereza kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa
Magereza, Dr Juma Malewa baada ya kikao chake na Maofisa wa Magereza
kutoka Makao ya
Magereza kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017.
Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
ndani Meja Jenerali Projest Rwegasira.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.