Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkemia Mkuu wa Serikali ,
Profesa Samwel Manyele wakati alipowasilisha taarifa ya tume ya
uchunguzi wa suala Faru John baada ya kukabidhi taarifa hiyo , Ofisini
kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi27, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya
kukabidhiwa taarifa ya tume ya kuchunguza suala la Faru John na Mkemia
Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, Ofisini kwake jijini Dar es
salam Machi 27, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkemia Mkuu wa
Serikali, Profesa Samwel Manyele taarifa ya Tume aliyoiunda ya
kuchunguza suala la Faru John, ofisini kwake jijjini Dar es salaam Machi
27, 2017.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.