Mchumi Idara ya Uratibu wa
Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Novatus Tesha akisoma Kanuni za
Maadili ya Utendaji Katika Utumishi wa Umma wakati wa maadhimisho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma ambapo ofisi hiyo imeadhimisha kwa kukutana na watumishi wake
kujadili masuala ya msingi ya kiutumishi Juni 22, 2017. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.