Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama (Mb), akijenga sehemu ya ukuta wa
Zahanati mpya ya kijiji cha Rwele wilayani Kyerwa mkoani Kagera hivi
karibuni, kama ishara ya kuzindua ujenzi wa zahanati hiyo iliyoathiriwa
na maafa ya tetemeko la ardhi. Mfuko wa maafa Ofisi ya Waziri Mkuu umetoa jumla ya shilingi milioni 125 kwa ajili ya ujenzi huo.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.