Friday, August 4, 2017

BILIONI 10 KUTUMIKA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (Mb), akipata maelezo ya uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo wa (BVR) ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, kutoka kwa mtaalamu wa TEHAMA, Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Julius Kobelsiki wakati alipofanya ziara katika bohari ya kuhifadhi vifaa vya uandikishaji wapiga kura na uendeshaji shughuli za kupiga kura, tarehe 4 Agosti, 2017, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (Mb), akimueleza jambo Mkurugenzi wa Uchaguzi,Tume ya  Uchaguzi Tanzania (NEC), Ramadhani Kailima wakati alipofanya ziara katika bohari ya kuhifadhi vifaa vya uandikishaji wapiga kura na uendeshaji shughuli za kupiga kura, tarehe 4 Agosti, 2017, jijini Dar es Salaam.(kushoto) ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Maimuna Tarishi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo ya moja ya nyaraka inayo tumiwa wakati wa uchaguzi nchini, kutoka kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi,Tume ya  Uchaguzi Tanzania (NEC), Ramadhani Kailima wakati alipofanya ziara katika bohari ya kuhifadhi vifaa vya uandikishaji wapiga kura na uendeshaji shughuli za kupiga kura, tarehe 4 Agosti, 2017, jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.