Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa na spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anna Makinda, wakati wa misa ya maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la katoliki Tunduru Masasi Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017 |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.