Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista Mhagama akisisitiza umuhimu wa vituo vya hali ya hewa vilivyofungwa
na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya usimamizi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ambapo
kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake zinatumika kutoa tahadhari ya uwepo wa maafa
ya mafuriko na Ukame nchini, kushoto kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya, Meneja Kanda ya Kusini,
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Daudi Amas
na Mratibu Mradi wa mifumo ya Tahadhari za mapema, Alfei Daniel, wakati
alipokuwa anakagua vituo hivyo mkoani Ruvuma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.