Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo Novemba 10/2017 kwa mazungumzo ya kikazi.Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge,Kazi Ajira,Vijana na Walemavu Jenista Mhagama |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.