BALOZI WA UFILIPINO AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA NA URATIBU) KUHUSU MASUALA YA MAAFA
Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akiwa katika picha ya
pamoja na Balozi wa Philippine Uriel Norman R. Garibay baada ya mazungumzo
mafupi ofisini kwake tarehe 22 Januari, 2018 Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akimsikiliza kwa makini Balozi wa
Philippine Ariel Norman R. Garibay akisisitiza jambo kuhusu masuala ya maafa
walipokutana ofisini kwake tarehe 22 Januari, 2018.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.