Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Miundombinu ya TEHAMA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Baltazari Kibola wakati wa warshaa kuhusu Mifumo ya TEHAMA na Takwimu inavyotegemeana Kiutendaji yaliyofanyika Tarehe 04 Januari, 2018 Dodoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.