Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wabunge
walioshiriki katika ufunguzi wa Jengo la Biashara la Shirika la Nyumba
la Taifa (NHC) la SIngidani mjini Singida Juni 30, 2018. Waliokaa,
watatu kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
William Lukuvi, Watano kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema
Nchimbi, Wasita kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida, Juma
Kilimba na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
Taifa, Felix Manyama Maagi. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.