Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William
Lukuvi (kushoto) wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kufungua Jengo la
Biashara la Singidani lililojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC)
mjini Singida Juni 30, 2018. Kulia ni Mbunge wa Singida Mjini, Mussa
Sima na wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida, Juma
Kilimba. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.