Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuingia katika mchezo wa mpira wa miguu wakati wa Bonanza la SHIMIWI lililofanyika Juni 30, 2018 Jijini Dodoma. |
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuingia katika mchezo wa mpira wa miguu wakati wa Bonanza la SHIMIWI. |
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuingia katika mchezo wa mpira wa miguu wakati wa Bonanza la SHIMIWI. |
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Kanali Matamwe Jimmy akiwapongeza wachezaji na washiriki wa michezo ya Bonanza walioshiriki katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. |
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakishangilia mara baada ya timu yao kutoka sare kwa bao moja na Timu ya Wizara ya Kilimo wakati wa Bonanza la SHIMIWI lililofanyika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.