Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - Yon (kushoto) wakishuhudia wakati Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Augustine Mahiga na Makamu wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Korea, Lim Sung - Nam (kushoto) walipotia saini Mkataba wa kuondoa Hitaji la Viza za Kusafiria kwa Watu Wenye Hati za Kusafiria za Kidiplomasia na Kikazi, kwenye ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam Julai 22, 2018. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.