Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi Mpya ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) baada ya mazungumzo kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, jijini Dar es salaam, Oktoba 27, 2018. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Profesa Faustin Kamuzora na kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Salum Shamte. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.