Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha
Walimu Tanzania (CWT) Taifa, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini
Dodoma, Januari 25, 2019. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais , Deus Seif,
Mweka Hazina , Abubakar Allawi, Katibu Mkuu, Christopher Banda na Wapili
kulia ni Rais wa CWT , Leah Ulaya.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.