Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao alichokiitisha cha
kujadili Uwekezaji wa Kiwanda cha Chai cha Mponde katika Halmashauri
ya Bumbuli mkoani Tanga kilichowajumuisha Naibu Mawaziri wa Kilimo,
Viwanda na Biashara, Makatibu Wakuu wa Wizara hizo, Mkurugenzi Mkuu wa
PSSSF na Msajili wa Hazina. Kikao hicho kilifanyika Ofisini kwa Waziri
Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 24, 2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.