Muonekano wa Jengo la
Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa Serikali, Ihumwa, linaloendelea kujengwa na
Mkandarasi Mzinga Holding Company,
tarehe 13 Januari, 2019, Dodoma.
|
Mmoja wa mafundi wa Mkandarasi
Mzinga Holding Company, akijenga sehemu ya ukuta wa jengo la Ofisi ya Waziri
Mkuu, katika mji wa serikali, Ihumwa Dodoma, tarehe
13 Januari, 2019.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.