Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge,
Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akiongea, wakati wa kikao cha Baraza la
wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (hawapo pichani) kilichowakutanisha
Wasuluhishi na waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro,
tarehe 14 Januari, 2019.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.