Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na
Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Uwekezaji pamoja na Watendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Zao
la Michikichi, alichokiitisha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa
jijini Dodoma, Februari 8, 2019. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki na kushoto kwake ni Katibu
Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. Wapili kulia ni Waziri wa
Kilimo, Japhet Hasunga na kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent
Bashungwa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.