Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka Mbunge wa
Mchinga, Hamidu Hassan Bobali ambaye aliuliza swali katika kipindi cha
Maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Uwekezaji , Angela Kairuki baada ya kujibu vizuri sana
maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.
Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira,
Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.