Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Wenye Ulemavu mhe.
Stella Ikupa akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu mashindano ya Shirikisho la mpira wa
miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika Mashariki yanayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni mwaka na kushirikisha
nchi 5 wanachama wakati wa mkutano huo.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.