Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Vijana Bw. James Kajugusi akielezea kuhusu vijana watakaopanda Mlima Kilimanjaro
kwa awamu ya pili ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa
Taifa Mwl. Julius K. Nyerere. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,
Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.