Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Mauritius,
Pravind Kumar kwenye ukumbi wa Maonyesho wa Pacifico Yokohama nchini
Japan, Agosti 28, 2019. Wate wawili wanahudhuria Mkutano wa Saba wa
Tokyo International Conference on Africa – TICAD 7. Kushoto ni Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa
Palamagamba Kabudi. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.