Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais waTogo, Faure Gnassingbe (kulia)
wakipiga makofi katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Tokyo
International Conference on Africa Development (TCAD7) uliofunguliwa na
Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifico
Yokohama nchini Japan, Agosti 28, 2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.