Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama baadhi ya vifaa tiba
vilivyopatikana kutokana na juhudi za mbunge wa Geita vijijini, Joseph
Msukuma (kulia) kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Geita iliyopo
katika kijiji cha Nzela, wakati alipokagua ujenzi wa hospitali hiyo na
kuzungumza na wananchi Septemba 21, 2019. Wa pili kulia ni Mganga Mkuu
wa wilya ya Geita, Deo Kisaka. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.