Monday, September 16, 2019

SERIKALI KUENDELEA KUJUMUISHA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MIPAGO NA BAJETI NGAZI YA WIZARA

Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Watu wenye Ulemavu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Filbert Kawemwamwa.  wakati wa kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD,  wakati wa  kujadili namna ya ujumuishwaji wa  masuala  ya watu wenye ulemavu katika mipango na bajeti  ngazi ya wizara leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019.
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD,  wakati wa  kujadili namna ya ujumuishwaji wa  masuala  ya watu wenye ulemavu katika mipango na bajeti  ngazi ya wizara leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Watu wenye Ulemavu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Filbert Kawemwamwa. wa akieleza umuhimu wa ujumuishwaji wa  masuala  ya watu wenye ulemavu katika mipango na bajeti  ngazi ya wizara wakati wa kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD, leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019, kushoto kwake ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Parkshard Mkongwa.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Parkshard Mkongwa akieleza umuhimu wa ujumuishwaji wa  masuala  ya watu wenye ulemavu katika mipango na bajeti  ngazi ya wizara wakati wa kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD, leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019, kulia kwake ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Watu wenye Ulemavu wa Ofisi hiyo, Filbert Kawemwamwa.

Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD,  wakati wa  kujadili namna ya ujumuishwaji wa  masuala  ya watu wenye ulemavu katika mipango na bajeti  ngazi ya wizara leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019.

Mwenyekiti wa SHIVYAWATA, Ummy Nderiananga,  akieleza umuhimu wa ujumuishwaji wa  masuala  ya watu wenye ulemavu katika mipango na bajeti  ngazi ya wizara wakati wa kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD, leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019.

Mkurugenzi wa Programu, Shirika la Kimataifa la ADD, Rose Tesha,  akieleza umuhimu wa utetezi wa pamoja wa masula ya watu wenye ulemavu wakati wa kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD, leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019.
Mkalimani kwa kutumia lugha ya alama, Edna James, akieleza umuhimu wa utetezi wa pamoja wa masula ya watu wenye ulemavu wakati wa kikao cha Menejimenti ya wizara hiyo na , viongozi kutoka SHIVYAWATA na Shirika la Kimataifa la ADD, leo jijini Dodoma, tarehe 16 Septemba, 2019.


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.