Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea taarifa ya Mkoa, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven Kebwe, baada ya akiwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na uongozi wa Mkoa wa Morogoro, mara baada ya kuwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.